Connect with us

Gospo Media

Video: Paul Clement – Usiyeshindwa

Video

Video: Paul Clement – Usiyeshindwa

Video: Paul Clement - Usiyeshindwa

Mkali wa nyimbo za Injili Tanzania Paul Clement ameachia (live version) ya video ya wimbo wake mpya unaoitwa Usiyeshindwa akiwa amemshirikisha mwimbaji Calvin John na John Kavishe.

“Usiyeshindwa ni wimbo wa sifa na shukrani kwa Mungu kwa matendo makuu ambayo yamekuwa yakionekana jana leo na hata milele, Hakika wewe ni Mungu #Usiyeshindwa.”

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema tukiamini kuwa utabarikiwa na kuguswa kwa namna ya pekee, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Paul Clement kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 625 661 862 au +255 719 367 002
Facebook: Paul Clement
Instagram: @minister_paulclement
YouTube: Paul Clement

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

FEATURED MUSIC

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

JIUNGE NASI

Jiunge na blog ya gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kila siku kupitia barua pepe yako.

Join 13,130 other subscribers

Gospomedia.com ni blog rasmi inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kilasiku kutoka ndani na nje ya Afrika.

To Top