Audio: Nicole Franklyn - Safari - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Audio: Nicole Franklyn – Safari

Audio

Audio: Nicole Franklyn – Safari

Audio: Nicole Franklyn - Safari

Kutoka jijini Dar es salaam kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 tunamtambulisha kwako mwimbaji anayefahamika kwa jina la Nicole Franklyn na huu ni wimbo wake mpya unaoitwa Safari.

“Wimbo huu unazungumzia safari ya Kufika kwenye kusudi la Mungu….Ni wimbo unaomshauri mtu kumtazama Mungu sana kuliko kuitazama dunia na mambo yake…pia inaonesha kwamba ukiwa na Mungu kila kitu huwa sawa….hivyo tuishi maisha ya kuomba na kulijua neno la Bwana.” – Nicole Franklyn

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu mzuri tukiamini kuwa utabarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Nicole Franklyn kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 683 556 864
Facebook: Nicole Franklyn
Instagram: @nicole_franklyn
Twitter: @nicolefranklyn
Youtube: Nicole Franklyn

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top