Audio: Newpower - God Over Everything - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Audio: Newpower – God Over Everything

Audio

Audio: Newpower – God Over Everything

Audio: Newpower - God Over Everything

Kutoka nchini Nigeria kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 leo tumekusogezea wimbo mzuri wa Kuabudu unaoitwa God Over Everything kutoka kwa mwimbaji anayefahamika kama Mordecai Okechukwu al maarufu Newpower.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu tukiamini kuwa utabarikiwa na kuinuliwa, Amen.

 

Social Media Connection:
Facebook: Newpower Official
Instagram: @newpowerofficial
Twitter: @newpowerofficial

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top