Video: Mwangupile Jr - No Body But Jesus - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Video: Mwangupile Jr – No Body But Jesus

Video

Video: Mwangupile Jr – No Body But Jesus

Video Mwangupile Jr - No Body But Jesus

Kutoka Tanzania kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 tunamtambulisha kwako mwimbaji anayefahamika kama Mwangupile Jr na hii ni video ya wimbo wake mpya unaoitwa No Body But Jesus.

“Katika maisha yetu sisi wanadamu tunaweza kuwa na urafiki wa kidunia na unaweza kufa kwasababu za kimwili lakini urafiki na Yesu hauwezi kufa kwa maana msingi wake upo katika Roho Mtakatifu.” – alisema Mwangupile Jr

Video ya wimbo huu imeongozwa na director Jay black, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za 99 Records chini ya mikono ya prodyuza Black Junior.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video ya wimbo huu tukiamini kuwa utabarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Mwangupile Jr kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 658 795 657
Facebook: Mwangupile Jr
Instagram: @mwangupilejr
Youtube: Mwangupile Jr.

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top