Connect with us

Video: Mtoto Moze Udoba – Mungu Wetu Atatupigania

Video

Video: Mtoto Moze Udoba – Mungu Wetu Atatupigania

Video: Mtoto Moze Udoba - Mungu Wetu Atatupigania

Kutoka Tanzania kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 leo tunamtambulisha kwako mwimbaji wa nyimbo za Injili akifahamika kwa jina la Moses Ezekiel Udoba a.k.a Mtoto Moze Udoba na hii ni video yake mpya inayoitwa Mungu Wetu Atatupigania.

“Pamoja na Changamoto mbalimbali tunazokutana nazo mwisho wa siku ni hakika Mungu wetu Atatupigania..” – Mtoto Moze

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video ya wimbo huu tukiamini kuwa utabarikiwa, Amen.

Social Media Connection:
Instagram: @mtoto_mose
YouTube: Mtoto Moze Udoba

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

KALI ZA WIKI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 14,697 other subscribers

To Top