Audio: Mr. Seed - For You - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Audio: Mr. Seed – For You

Audio

Audio: Mr. Seed – For You

Audio Mr. Seed - For You

Baada ya siku chache zilizopita kuachia video ya wimbo uitwao Bless Me kwa mara nyingine tena mwimbaji anayefanya vizuri jijini Nairobi Kenya al maarufu Mr. Seed ameachia wimbo wake mpya unaoitwa For You.

Muziki huu umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Drama House Music chini ya mikono ya prodyuza Yo Alex.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu tukiamini kuwa utabarikiwa, Amen.

Social Media:
Facebook: Mr Seed
Instagram: @mrseedofficial
Youtube: MrSeedOfficial Music

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top