Video: Mr Blessed - Nimejikabidhi - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Video: Mr Blessed – Nimejikabidhi

Video

Video: Mr Blessed – Nimejikabidhi

Video: Mr Blessed - Nimejikabidhi

Kutoka Tanzania kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 tumekusogezea video ya wimbo unaoitwa Nimejikabidhi kutoka kwa mwimbaji anayefahamika kwa jina la Mr Blessed.

“Nimejikabadhi ni nyimbo inayoelezea jinsi ya kujitoa maisha yako na kumkabidhi Yesu maisha yako.” – Mr Blessed

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video ya wimbo huu tukiamini kuwa utabarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Mr Blessed kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 764 998 370
Instagram: @mrblessedtz
Youtube: Mr. Blessed

Advertisements
1 Comment

1 Comment

  1. mr blessed

    June 21, 2019 at 11:41 pm

    Thanks so much for support

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top