Watch Video: Moji ShortBabaa Feat. Daddy Owen - Sitadanyanga | Listen/Download MP3 - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Watch Video: Moji ShortBabaa Feat. Daddy Owen – Sitadanyanga | Listen/Download MP3

Video

Watch Video: Moji ShortBabaa Feat. Daddy Owen – Sitadanyanga | Listen/Download MP3

Mshindi wa Groove Awards 2019 (Dance Style Song of the Year) al maarufu Moji ShortBabaa kwa mara nyingine ameachia video ya wimbo wake mpya unaoitwa SITADAGANYA akiwa amemshirikisha moja kati ya waimbaji wakongwe nchini humo al maarufu Daddy Owen.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo ni hakika kuwa itakubariki, Amen.

Social Media
Facebook: Moji Shortbabaa
Instagram: @mojishortbabaa
Youtube: Moji Shortbabaa

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top