Connect with us

Gospo Media

Video: Mercy Masika – I Love Your Story

Video

Video: Mercy Masika – I Love Your Story

Video: Mercy Masika - I Love Your Story

Kwa mara nyingine tena leo tumekusogezea live version video ya wimbo mpya unaitwa I Love Your Story kutoka kwa mkali wa nyimbo za Injili kutoka jijini Nairobi Kenya al maarufu Mercy Masika.

Video hii imeongozwa na director mahiri kutoka Kenya Steve Hunter, Muziki ukiwa umetayarishwa chini ya mikono ya prodyuza Nqubeko Mbatha kutoka nchini South Afrika.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo ni hakika itakubariki kila wakati, Amen.

Social Media:
Facebook: Mercy Masika
Instagram: @mercymasikamuguro
Youtube: Mercy Masika

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

FEATURED MUSIC

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

JIUNGE NASI

Jiunge na blog ya gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kila siku kupitia barua pepe yako.

Join 13,148 other subscribers

Gospomedia.com ni blog rasmi inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kilasiku kutoka ndani na nje ya Afrika.

To Top