Audio: Mc Kingu - Wema Wako Umenizunguka - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Audio: Mc Kingu – Wema Wako Umenizunguka

Audio

Audio: Mc Kingu – Wema Wako Umenizunguka

Wema Wako Umenizunguka

Kutoka jijini Dar es salaam kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 tunamtambulisha kwako mwimbaji anayefahamika kwa jina la Mc Kingu na huu ni wimbo wake wa pili kuachia unaoitwa Wema Wako Umenizunguka.

“Wema wako umetuzunguka, Kila saa Mungu hutuwazia yaliyo mema katika maisha yetu na yeye ni mwaminifu kwa wale wanaomtafuta kwa bidii, ahadi zake kwetu ni za kweli.” – alisema Mc Kingu

Mbali na karama ya uimbaji MC Kingu pia ni Mshereheshaji(MC) katika shughuli mbambali kama vile mikutano, harusi na sherehe mbalimbali.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu tukiamini kuwa utabarikiwa na kuinuliwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Mc Kingu kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 688 464 475, +255 745 751 848
Facebook: Mc Kingu
Instagram: @mckinguevents
Youtube: Mc Kingu

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top