Connect with us

Gospo Media

Audio: Mc Kingu – Roho wa Bwana Shuka

Audio

Audio: Mc Kingu – Roho wa Bwana Shuka

Mc Kingu - Roho wa Bwana Shuka

Kutoka jijini Dar es salaam kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 tunamtambulisha kwako mwimbaji anayefahamika kwa jina la Mc Kingu na huu ni wimbo wake wa kwanza kuachia unaoitwa Roho wa Bwana Shuka.

“Wimbo wa kwanza wa Roho shuka, unazungumzia umuhimu wa Roho mtakatifu katika maisha ya MTU aliyeokoka kwani yeye ni kiongozi na mwalimu hivyo tukiwa na Roho mtakatifu yeye atatuongoza na kutufundisha hivo hatuna budi kumtaka Roho mtakatifu.” – alisema Mc Kingu

Mbali na karama ya uimbaji MC Kingu pia ni Mshereheshaji(MC) katika shughuli mbambali kama vile mikutano, harusi na sherehe mbalimbali.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu tukiamini kuwa utabarikiwa na kuinuliwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Mc Kingu kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 688 464 475, +255 745 751 848
Facebook: Mc Kingu
Instagram: @mckinguevents
Youtube: Mc Kingu

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

JIUNGE NASI

Jiunge na blog ya gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kila siku kupitia barua pepe yako.

Join 13,130 other subscribers

Gospomedia.com ni blog rasmi inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kilasiku kutoka ndani na nje ya Afrika.

To Top