Audio: Lester - Everything To Me - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Audio: Lester – Everything To Me

Audio

Audio: Lester – Everything To Me

Audio: Lester - Everything To Me

Baada ya mwezi Februari 2019 kuachia wimbo uitwao All of You kwa mara nyingine tena mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka nchini Zambia Lester Chiyambi maarufu kama Lester ameachia wimbo wake mpya unaoitwa Everything To Me.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu mzuri tukiamini kuwa utakubariki, Amen.

 

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top