Audio: Leonel Orji - Live For You - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Audio: Leonel Orji – Live For You

Audio

Audio: Leonel Orji – Live For You

Audio: Leonel Orji - Live For You

Kutoka nchini Nigeria kwa mara ya kwanza kabisa katika mwaka 2019 tumekusogezea wimbo mpya unaoitwa Live For You kutoka kwa mwimbaji na mtayaarishaji wa nyimbo za Injili al maarufu Leonel Orji.

“Live for You is the song which speaks about total surrender to God, living for Him, complete appreciation and worship to Him for His mercy, grace, deliverance and love.” – Leonel Orji

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu tukiamini kuwa utakugusa na kukubariki, Ameen.

 

Social Media
Facebook: Officialleonelorji
Instagram: @leonelorji
Twittter: @leonelorji

 

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top