Audio: Kibonge wa Yesu - Nataka Nikujue - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Audio: Kibonge wa Yesu – Nataka Nikujue

Audio

Audio: Kibonge wa Yesu – Nataka Nikujue

Audio: Kibonge wa Yesu - Nataka Nikujue

Kwa mara nyingine tena katika mwaka 2019 mwimbaji wa nyimbo Tanzania al maarufu Kibonge wa Yesu ameachia wimbo wake mpya unaoitwa Nataka Nikujue.

Nataka Nikujue ni moja kati ya wimbo uliopo kwenye video album yake ya #NIYESU Ni maombi yangu kuwa Mungu akubariki na akutane na haja ya moyo wako kila wakati unaposikiliza wimbo huu.

Muziki huu umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Hekima Records chini ya mikono ya prodyuza Moses George.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Kibonge wa Yesu kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 654 448 206
Facebook: Juma Kyando(Kibonge wa Yesu)
Instagram: @kibongewaYesu_official
Youtube: Kibonge wa Yesu official

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top