Audio: Joyce Mwaikofu - Kilichotarajiwa - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Audio: Joyce Mwaikofu – Kilichotarajiwa

Audio

Audio: Joyce Mwaikofu – Kilichotarajiwa

Audio: Joyce Mwaikofu - Kilichotarajiwa

Kutoka Tanzania kwa mara ya kwanza tunamtambulisha kwako mwimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Joyce Mwaikofu na huu ni wimbo mpya unaoitwa Kilichotarajiwa.

“Kila mtu anakitu mikononi mwake ambacho amepewa na Mungu kuja nacho hapa duniani ili kutimiza kusudi la Mungu la yeye kuwepo Duniani, Naamini kupitia wimbo huu kuna mtu ataguswa na kuponywa na hakika atamtukuza Mungu ukuu wake.” – alisema Joyce Mwaikofu

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu tukiamini kuwa utabarikiwa na kuinuliwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Joyce Mwaikofu kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 714 494 316
Facebook: Joyce Mwaikofu
Instagram: @joycemwaikofu
Youtube: Joyce Mwaikofu

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top