Video: JoePraize - Powerful Jesus - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Video: JoePraize – Powerful Jesus

Video

Video: JoePraize – Powerful Jesus

Video: JoePraize - Powerful Jesus

Mwimbaji maarufu kutoka nchini Nigeria JoePraize ameachia video ya wimbo wake mpya unaoitwa Powerful Jesus ikiwa ni wimbo pekee aliouachia siku ya kuadhimisha miaka 40 tangu kuzaliwa kwake.

“There is Power in Name of Jesus and I know it… Receive answers to all your secret questions in the name of Jesus Christ…” – JoePraize

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video ya wimbo huu tukiamini kuwa utabarikiwa, Amen.

Social Media Connection:
Facebook: Joepraize
Instagram: @joepraize_de_emperor
Twitter: @joepraize
YouTube: joepraizemusic

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top