Video: Immy Benny - Nashukuru - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Video: Immy Benny – Nashukuru

Video

Video: Immy Benny – Nashukuru

Video: Immy Benny - Nashukuru

Baada ya kuachia wimbo unaoitwa Nyongeza kwa mara nyingine tena mwimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania Immy Benny amechia video ya wimbo wake mpya unaoitwa Nashukuru.

“Nashukuru ni wimbo unaozungumzia nguvu katika kushukuru kwa kila jambo unalopitia au unalopata kwakuwa Mungu wetu ni Mungu wa baraka na Neema kwetu hivyo nasi hatuna budi kumshukuru kwa kila jambo, Amen.” – alisema Immy

Video hii imeongozwa na director Kingson, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Ayubu

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu ambao ni hakika kuwa utakubariki, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Immy Benny kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 654 615 344
Facebook: Immy Benny
Instagram: @immybenny
Youtube: Immy Benny

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top