Audio: Imani Lyimbo - Ombi Langu - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Audio: Imani Lyimbo – Ombi Langu

Audio

Audio: Imani Lyimbo – Ombi Langu

Audio: Imani Lyimbo - Ombi Langu

Kutoka jijini Dar es salaam kwa mara nyingine tena leo tumekusogezea wimbo mpya unaoitwa Ombi Langu kutoka kwa mwimbaji Imani Lyimbo.

“Ombi Langu ni wimbo uliobeba maombi mbele za Mungu juu ya kuwa na imani thabiti isiyoteteleka kwa Mungu na kuamini kuwa Mungu anajibu maombi na anasikia maombi yetu na kwamba kila dua, sala, ibada ya maombi yetu hayaendi bure Mungu ni mwaminifu tusichoke wala kukata tamaa.” – alisema Imani Lyimbo

Wimbo huu umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Next Level chini ya mikono ya prodyuza Acknex.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu tukiamini kuwa utabarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Imani Lyimbo kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 756 942 686
Facebook: Imani Lyimbo
Instagram: @official_imanilyimbo
Youtube: Imani LYIMBO TV

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top