Audio: Hellen Sogia - Mbele Ninaendelea - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Audio: Hellen Sogia – Mbele Ninaendelea

Audio

Audio: Hellen Sogia – Mbele Ninaendelea

Audio: Hellen Sogia - Mbele Ninaendelea

Kutoka jijini Dar es saalam kwa mara nyingine tena leo tumekusogezea wimbo mpya unaoitwa Mbele Ninaendelea kutoka kwa mtumishi wa Mungu Hellen Sogia.

“MBELE NINAENDELEA umekukwa ni wimbo wa baraka kwa kanisa la Kristo ulio na maneno yenye nguvu ya ajabu kwa mtu aliye na safari ya kwenda mbinguni, kwa mtu anaechuchumilia kufikia hatma ya safari yake ya wokovu.
Mungu ambariki mtunzi wa wimbo huu kwa kukubali kuwa mwaminifu mbele za Mungu wake, Kwa kuutoa ujumbe huu wa kukusaidia katika safari yetu ambao unaishi hadi leo hii.” – alisema mtumishi Hellen Sogia.

Muziki huu umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio  za Sogia Production chini ya mikono ya prodyuza Johnson Luzzah.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu mzuri wa kuabudu ambao ni imani yetu kuwa utakubariki, Amen.

 

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na mtumishi Hellen Sogia kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 753 351 048, +255 716 711 867
Facebook: Hellen Sogia
Instagram: @hellensogia
Youtube: Hellen Sogia

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top