Video: Fabian Modern - Yesu Anafanya - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Video: Fabian Modern – Yesu Anafanya

Video

Video: Fabian Modern – Yesu Anafanya

Video Fabian Modern - Yesu Anafanya

Kutoka jijini Mbeya kwa mara nyingine tena tumekusogezea video mpya ya wimbo unaoitwa Yesu Anafanya kutoka kwa mwimbaji anayefahamika kama Fabian Modern.

“Maneno ya Mungu si maneno ya Mwanadamu, Kile MUNGU amepanga kutimiza kwako na Itakuwa hivyo Haijalishi unapita wakati gani mgumu bado MUNGU ni jawabu la Maisha yetu.” – Fabian Modern

Video hii imeongozwa na director Travellah kutoka Kwetu Studios, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Kingson.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo kwa hakika itakubariki na kukugusa kwa namna ya pekee, Karibu!

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Fabian Modern kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 753 522 994
Facebook: Fabian Modern
Instagram: @fabianmodern97
Youtube: FABIAN MODERN

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top