Connect with us

Video: Eve Bahati – Waniangazia

Video

Video: Eve Bahati – Waniangazia

Video: Eve Bahati - Waniangazia

Kutoka jijini Nairobi Kenya kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 mwimbaji wa nyimbo za Injili maarufu kama Eve Bahati ameachia video ya wimbo wake mpya unaoitwa Waniangazia.

Video imeongozwa na director Trey Juelz, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Alka Productions wakishirikiana na prodyuza Vicky Pon Dis.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema tukiamini kuwa utabarikiwa na kuinuliwa, Amen.

Social Media Connection:
Facebook: Eve Bahati Music
Instagram: @evebahatimusic
YouTube: Eve Bahatimusic

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,507 other subscribers

To Top