Audio: Eunice Mtavangu - The Name of Jesus - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Audio: Eunice Mtavangu – The Name of Jesus

Audio

Audio: Eunice Mtavangu – The Name of Jesus

Audio: Eunice Mtavangu - The Name of Jesus

Kutoka Tanzania leo tumekusogezea wimbo mzuri wa kuabudu unaoitwa The Name of Jesus kutoka kwa mwanadada Eunice Mtavangu.

“Imo nguvu kubwa katika jina la Yesu katika kutenda maajabu ndani yetu, Jina la Yesu lina nguvu ya kuhuisha vilivyokufa, kurudisha vilivyopotea na kutakasa mioyo iliyovunjika, Ni maombi yangu wimbo huu ukaguse hitaji la moyo wako katika jina la Yesu, Amen” – Eunice

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu na hakika kuwa utabarikiwa na kuguswa kwa namna ya pekee, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Eunice Mtavangu kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 718 985 615
Facebook: Eunice Mtavangu
Instagram: @eunicecostantine
Youtube: eunice mtavangu

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top