Video: Esther Benard - Bwana Umetamalaki - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Video: Esther Benard – Bwana Umetamalaki

Video

Video: Esther Benard – Bwana Umetamalaki

Video Esther Benard - Umetamalaki

Kutoka jijini Arusha kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 tunamtambulisha kwako mwimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania anayefahamika kwa jina la Esther Benard na huu ni wimbo wake mpya unaoitwa Bwana Umetamalaki.

“Bwana umetamalaki mataifa yote, ni wimbo unaozungumzia ukuu wa Mungu duniani na mbinguni, Upendo, adhama na utakatifu umejaa nyumbani mwake. Ubarikiwe sana unapoutazama video ya wimbo huu, Karibu tumsifu Mungu Pamoja.” – Esther Benard

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video ya wimbo huu tukiamini kuwa utabarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Esther Benard kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 678 809 220
Facebook: Esther Benard
Instagram: @estherbenard202
Youtube: ESTHER BENARD

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top