Audio: Emmanuel Mwailimbu - Wathamani - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Audio: Emmanuel Mwailimbu – Wathamani

Audio

Audio: Emmanuel Mwailimbu – Wathamani

Audio: Emmanuel Mwailimbu - Wathamani

Kutoka jijini Arusha kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 tunamtambulisha kwako mwimbaji Emmanuel Mwailimbu na huu ni wimbo wake mpya unaoitwa Wathamani.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu na tunaamini kuwa utabarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Emmanuel Mwailimbu kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 744 703 775
Facebook: Emmanuel Mwailimbu
Youtube: Emmanuel Mwailimbu

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top