Audio: Douglas Danor Feat. Team 3D - My Testimony - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Audio: Douglas Danor Feat. Team 3D – My Testimony

Audio

Audio: Douglas Danor Feat. Team 3D – My Testimony

Audio: Douglas Danor Feat. Team 3D - My Testimony

Kutoka nchini Nigeria leo tumekusogezea wimbo mpya wa sifa unaoitwa My Testimony kutoka kwa mwimbaji anayefahamika kama Douglas Danor akiwa amewashirikisha kundi la waimbaji linalofahmika kama Team 3D.

“The song talks about the goodness of God in His life as “Marvelous”, delivered with precision, putting together melodic tunes from the English, Yoruba and  Igbo languages respectively.” – Douglas

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu wa sifa tukiamini kuwa utabarikiwa, Amen.

 

Social Media Connection:
Facebook: Douglas Danor
Instagram: @dougvilla
Twitter: @dougvilla

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top