Connect with us

Gospo Media

Video: Dorisphils Feat. Chris Strings – By My Side

Video

Video: Dorisphils Feat. Chris Strings – By My Side

 

Video: Dorisphils Feat. Chris Strings - By My Side

Kutoka nchini Nigeria leo tumekusogezea video ya wimbo unaoitwa By My Side kutoka kwa mwimbaji Dorisphils akiwa amemshirikisha Chris Strings.

“By My Side is another upbeat and joyful dance song inspired by the wondrous love of Christ. No matter what we go through in life, He is always there for us, right by our side!” – Dorisphils

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video ya wimbo huu tukiamini kuwa utabarikiwa kwa namna ya pekee, Amen.

Social Media Connection:
Facebook: Dorisphils’ Music
Instagram: @dorisphils
Twitter: @dorisphils
YouTube: Doris-Phils Kanu

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

FEATURED MUSIC

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

JIUNGE NASI

Jiunge na blog ya gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kila siku kupitia barua pepe yako.

Join 13,130 other subscribers

Gospomedia.com ni blog rasmi inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kilasiku kutoka ndani na nje ya Afrika.

To Top