Connect with us

Gospo Media

Audio | David Cosmas – Kanyaga | Download

Audio

Audio | David Cosmas – Kanyaga | Download

Audio: David Cosmas-Kanyaga

Kwa mara nyingine tena kutoka jijini Mwanza leo tumekusogezea wimbo mpya unaoitwa Kanyaga kutoka kwa mwimbaji na mwandishi wa nyimbo za Injili al maarufu David Cosmas.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu tukiamini kuwa utabarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi:
Simu/WhatsApp: +255 766 709 443
Facebook: David Cosmas
Instagram: @official_davidcosmas
Youtube: DAVID COSMAS

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top