Audio: Dallorday - Mtawala - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Audio: Dallorday – Mtawala

Audio

Audio: Dallorday – Mtawala

Dallorday - Mtawala

Kutoka jijini Dar es salaam kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 tunamtambulisha kwako mwimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania anayefahamika kwa jina la Dallorday na huu ni wimbo wake wa kwanza kuachia unaoitwa Mtawala.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu tukiamini kuwa utabarikiwa na kuguswa kwa namna ya pekee, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Dallorday kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 653 683 759
Facebook: Dallorday
Instagram: @dallorday96
Youtube: MMTV

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top