Audio: Chris Msaki - Yesu Anaweza - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Audio: Chris Msaki – Yesu Anaweza

Audio

Audio: Chris Msaki – Yesu Anaweza

Audio: Chris Msaki - Yesu Anaweza

Kwa mara nyingine tena leo tumekuletea wimbo mpya unaoitwa Yesu Anaweza kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania anayefahamika kwa jina la Chris Msaki.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu wa sifa tukiamini kuwa utainuliwa na kubarikiwa, Amen.

 

Kwa mawasiliano zaidi na wasiliana na mtumishi wa Mungu Chris Msaki kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 717 603 618
Facebook: Chris Philipo Msaki
Instagram: @chris_philipo_msaki
Twitter: @chris_philipo_msaki

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top