Connect with us

Gospo Media

Audio: Chesco Christopher – Wa Viwango Vingine

Audio

Audio: Chesco Christopher – Wa Viwango Vingine

Chesco Christopher - Wa Viwango Vingine

Kutoka jijini Dar es salaam kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 tunamtambulisha kwako mwimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania anayefahamika kama Chesco Christopher na huu ni wimbo wake mpya unaoitwa Wa Viwango Vingine.

“Wa Viwango Vingine ni wimbo nilioandika kwa ajili ya kuwapa watu ujumbe wenye kutia moyo na kubariki, Haijalishi jaribu lako ni kubwa kiasi gani unachotakiwa kufahamu ni kwamba wewe ni wa viwango vingine, Amini katika Mungu naye atakutendea sawasawa na mapenzi yake, Amen.” – alisema Chesco

Muziki huu umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za New Sound chini ya mikono ya prodyuza Big G.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu tukiamini kuwa utabarikiwa na kuinuliwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Chesco Christopher kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 789 463 073
Facebook: Chesco Christopher
Instagram: @chescochristopher
Youtube: Chesco Christopher

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

JIUNGE NASI

Jiunge na blog ya gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kila siku kupitia barua pepe yako.

Join 13,130 other subscribers

Gospomedia.com ni blog rasmi inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kilasiku kutoka ndani na nje ya Afrika.

To Top