Audio: Bishop Ben Bonge - Amen Haleluya - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Audio: Bishop Ben Bonge – Amen Haleluya

Audio

Audio: Bishop Ben Bonge – Amen Haleluya

Audio: Bishop Ben Bonge - Amen Haleluya

Kutoka jijini Dar es salaam kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 leo tumekusogezea wimbo mpya unaoitwa Amen Haleluya kutoka kwa Bishop Ben Bonge.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu wa sifa tukiamini kuwa utainuliwa na kubarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Bishop Ben Bonge kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 675 319 643
Facebook: Ben Bonge
Instagram: @official_ben_bonge
Youtube: benon benjamin

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top