Audio: Benjamin Zephania - Sijawahi Kujuta - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Audio: Benjamin Zephania – Sijawahi Kujuta

Audio

Audio: Benjamin Zephania – Sijawahi Kujuta

Audio Benjamin Zephania - Sijawahi Kujuta MP3

Kutoka jijini Dodoma kwa mara ya kwanza tunamtambulisha kwako mwimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania anayefahamika kwa jina la Benjamin Zephania na huu ni wimbo wake mpya unaoitwa Sijawahi Kujuta.

“SIJAWAHI KUJUTA Is Swahili song which tries to Explain Goodness of Our Lord JESUS For His Mercy, Love and Kindness in such a way that we never regret to have Him in our life.” – Benjamin Zephania

Muziki huu umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Divine Music Studios chini ya mikono ya prodyuza Sam.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu tukiamini kuwa utabarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Benjamin Zephania kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 764 013 928
Facebook: Benjamin Zephania
Instagram: @benjazephania
Youtube: Benja Zephania

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top