Audio: Wapatanishi - Pigo - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Audio: Wapatanishi – Pigo

Audio

Audio: Wapatanishi – Pigo

Audio Wapatanishi - Pigo

Kutoka jijini Arusha kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 tunalitambulisha kwako kundi la waimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania linalofahamika kwa jina la Wapatanishi na huu ni wimbo wao mpya unaoitwa Pigo.

“Wimbo wa PIGO ni wa kushangilia ushindi wa Yesu alioupata goligota, Wimbo huu unaleta maana halisi ya ukristo kwa wafuasi wa kristo ambapo tumeshinda vita zote baada ya Yesu kufa na kufufuka msalabani. Watu wote wasiomfuata kristo ndio wamepigwa pigo takatifu kwa kutokuamini kwao kwa kuwa Yesu alikirimiwa jina lipitayo majina yote na damu yake hufuta dhambi zote na kuushinda uovu.” – Wapatanishi

Wapatanishi ni kundi linalowaunganisha vijana watatu waliookoka na wenye ari ya kumtumikia Mungu kwa njia ya muziki wa Injili akiwemo @fadhilishayo (Mwanzilishi wa kundi), @evenlyshiriima pamoja na @ellyfromtz

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu mzuri tukiamini kuwa utabarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na kundi la Wapatanishi kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 764 162 515
Facebook: Wapatanishi
Instagram: @wapatanishi
Youtube: Wapatanishi 255

Advertisements
1 Comment

1 Comment

  1. Fadhili shayo

    June 17, 2019 at 8:55 pm

    Glory to God

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top