Audio: Ray-1 – Igwe - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Audio: Ray-1 – Igwe

Audio

Audio: Ray-1 – Igwe

Audio: Ray-1 – Igwe

Kutoka nchini Nigeria kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 tumeusogeza kwako wimbo unaoitwa Igwe kutoka kwa mwimbaji Ray-1.

“This new song is dedicated to Almighty God and in appreciation to God for His never-ending grace, blessings, protecting and persistent growth in His word.” – Ray-1

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu tukiamini kuwa utabarikiwa, Amen.

 

Social Media:
Instagram: @ray1_shudibeatal

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top