Connect with us

Gospomedia

Audio: Kelly Lyon – Ogechi

Music

Audio: Kelly Lyon – Ogechi

Audio: Kelly Lyon - Ogechi

Mtaayarishaji maarufu wa muziki wa nyimbo za Injili nchini Nigeria Kelly Loyn al maarufu Spiritualbeatz siku chache zilizopita aliachia wimbo uitwao Ogechi ikiwa ni zawadi kwa mke wake aitwaye Ogechi katika kumtakia heri ya kuzaliwa kwake.

Na wewe unayekwenda kusikiliza wimbo huu inawezekana una Ogechi wako na wimbo huu utamhusu na kubarikiwa, Amen.

 

Social Media Connection:
Instagram: @kellylyonn | @oge_lyon

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,534 other subscribers

To Top