Connect with us

Gospo Media

Video: Arica Fungo – Kaa Nami

Video

Video: Arica Fungo – Kaa Nami

Video: Arica Fungo - Kaa Nami

Kutoka jijini Mwanza kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 tunamtambulisha kwako mwimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania anayefahamika kwa jina la Arica Fungo na hii ni video mpya ya wimbo unaoitwa Kaa Nami.

Video hii imeongozwa na director Rocky, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Quick Sound chini ya mikono ya prodyuza Lonely.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video ya wimbo huu tukiamini kuwa utabarikiwa na kuinuliwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Arica Fungo kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 752 617 709
Facebook: Arica Fungo
Instagram: @aricalortfungo
Youtube: official Arica investment

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

FEATURED MUSIC

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

JIUNGE NASI

Jiunge na blog ya gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kila siku kupitia barua pepe yako.

Join 13,130 other subscribers

Gospomedia.com ni blog rasmi inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kilasiku kutoka ndani na nje ya Afrika.

To Top