Connect with us

Gospo Media

Audio: Alpha Mwakikambaku – Jehovah

Audio

Audio: Alpha Mwakikambaku – Jehovah

Audio Alpha Mwakikambaku - Jehovah

Kutoka jijini Dar es salaam kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 tunamtambulisha kwako mwimbaji anayefahamika kama Alpha Mwakikambaku na huu ni wimbo wake wa kwanza kuachia unaoitwa Jehovah.

“Jehovah ni wimbo unaomzungumzia Mungu mwenyewe hakika hakuna Mungu mwingine ila JEHOVAH, Ukisikiliza utagundua ni wimbo ambao unamsifu JEHOVAH yaani Mungu kwamba yeye ni Mungu wa ajabu sana maana anafanya mambo makuu na ya ajabu sana katika maisha Yetu, yeye ni Mungu mkuu ni Baba wa milele ameinuliwa juu zaidi ya vyote na yeye ndiye Muumba wa miisho ya dunia ni JEHOVAH.” –  alisema Alpha

Wimbo huu umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Yes Records chini ya mikono ya prodyuza David Blackwell.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu tukiamini kuwa utabarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Alpha Mwakikambaku kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 762 856 192
Facebook: Alpha Mwakikambaku
Instagram: @alphamwakikambaku
Youtube: Alpha Mwakikambaku

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

JIUNGE NASI

Jiunge na blog ya gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kila siku kupitia barua pepe yako.

Join 13,130 other subscribers

Gospomedia.com ni blog rasmi inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kilasiku kutoka ndani na nje ya Afrika.

To Top