Connect with us

Gospo Media

Video: Alice Mwamini – Bwana NiNuru

Video

Video: Alice Mwamini – Bwana NiNuru

Video: Alice Mwamini - Bwana NiNuru

Kutoka nchini marekani kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 tunamtambulisha kwako mwimbaji Alice Mwamini na hii ni video ya wimbo wake mpya unaoitwa Bwana NiNuru.

“Nuru ni neno lenye maana nyingi sana ila ni neno lenye msingi kwa Bwana wetu Yesu Kristo mwenyewe ambaye siku zote maishani mwangu amekuwa ni Nuru yangu, Hivyo ninachotaka kusema nawe unayesikiliza wimbo huu wakati huu ni kwamba Kama Bwana Yesu utamfanya kuwa Nuru yako amini nakwambia hakuna maadui wanaweza kukushambulia na kukuangusha maana neema yake ijuu yetu na pia yeye ndiye mwangaza wa njia zetu, Njia za shetan hazina nafasi kwetu maana Mungu mwenyewe ndiye mlinzi wetu🙏🏻.” – alisema Alice Mwamini

Video hii imeongozwa na director Bahati Musiq, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Joshua Kibayayu.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video ya wimbo huu tukiamini kuwa utabarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Alice Mwamini kupitia:
Simu/WhatsApp: +1 (480) 501-0460
Facebook: Alice Mwamini
Instagram: @alicemwamini
Youtube: Alice Mwamini

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

FEATURED MUSIC

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

JIUNGE NASI

Jiunge na blog ya gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kila siku kupitia barua pepe yako.

Join 13,130 other subscribers

Gospomedia.com ni blog rasmi inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kilasiku kutoka ndani na nje ya Afrika.

To Top