Video: Alex Mkamanga - Unanifaa Feat. Catherine Msanze - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Video: Alex Mkamanga – Unanifaa Feat. Catherine Msanze

Video

Video: Alex Mkamanga – Unanifaa Feat. Catherine Msanze

Video: Alex Mkamanga - Unanifaa Feat. Catherine Msanze

Baada ya wiki chache zilizopita kuachia wimbo uitwao Upendo Tuu kwa mara nyingine tena mwimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania Alex Mkamanga amekuja na video ya wimbo wake mpya unaoitwa Unanifaa akiwa amemshirikisha mwanadada Catherine Msanze.

“Unanifaa ni wimbo unaoelezea jinsi gani Yesu Kristo ni wa muhimu na kwa uweza wake mkuu unaweza kumpandisha mtu kutoka chini kwenda juu inawezekana hivyo anafaa kwa maisha ya Mwanadamu.” – Alex alisema

Video ya wimbo huu imeongozwa na director Mahela, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Hezy.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema tukiamini kuwa utabarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Alex Mkamanga kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 762 624 343
Facebook: Alex Mkamanga
Instagram: @alexmkamanga
Youtube: Babjeez Chosen

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top