Connect with us

Gospo Media

Video: Aldo Sanga – Fimbo ya Musa

Video: Aldo Sanga - Fimbo ya Musa

Video

Video: Aldo Sanga – Fimbo ya Musa

Video: Aldo Sanga - Fimbo ya Musa

Kutoka Tanzania kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 tunamtambulisha kwako mwimbaji Aldo Sanga na hii ni video yake mpya inayoitwa Fimbo ya Musa.

“Fimbo ya Musa ni video mpya niliyoiachia baada ya ile ya kwanza inayoitwa Nding’ung’uta kufanya vizuri sana na kukonga mioyo ya watu wengi kwa namna ya pekee miaka miwili iliyopita. Zaidi ya yote MUNGU hupendezwa na hao wamwabuduo ( Sifa, Shukrani, Utukufu,Maombi) kwa roho na kweli.” – alisema Aldo Sanga

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema tukiamini kuwa ujumbe huu utakugusa na kukubariki, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Aldo Sanga kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 765 255 560
Facebook: Aldo Sanga
Instagram: @aldosanga
Youtube: Aldo Sanga

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top