Connect with us

Gospo Media

Video: Agent Snypa – Loud It

Video

Video: Agent Snypa – Loud It

Video: Agent Snypa - Loud It

Kutoka nchini Nigeria kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 tumekusogezea video mpya ya wimbo unaoitwa Loud It kutoka kwa mkali wa nyimbo za Injili kwa mtindo wa Ragga al maarufu Agent Snypa.

Video hii imeongozwa na director Lawrence Omo-Iyare, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za 17:17audio lab chini ya mikono ya prodyuza Xcel Siri.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii tukiamini kuwa utabarikiwa, Amen.

Social Media Connection:
Facebook: Agent Snypa
Instagram: @agentsnypa
Twitter: @agentsnypa
YouTube: SPECIAL AGENT SNYPA

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top