Audio: Aaron K - Hekima - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Audio: Aaron K – Hekima

Audio

Audio: Aaron K – Hekima

Audio: Aaron K - Hekima

Kwa mara nyingine tena kutoka Tanzania leo tumekusogezea wimbo mpya unaoitwa Hekima kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Aaron K.

“Hekima ni zawadi pekee ambayo inatoka kwa Mungu, Sulemani alilijua hili ndio maana alimuomba Mungu hekima na Mungu alimwambia umeomba vyema na vyote ambavyo hukuomba nitakupatia, Ni ombi langu utabarikiwa na wimbo huu, Amen.” – Aaron K

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu mzuri tukiamini kuwa utabarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Aaron K kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 718 836 372
Facebook: Aaron-K
Instagram: @aaron_k_official
Youtube: Aaron K Official TZ

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top