Audio: Vince Joyn - Amenitengeneza - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Audio: Vince Joyn – Amenitengeneza

Audio

Audio: Vince Joyn – Amenitengeneza

Baada ya wiki chache zilizopita kuachia video ya wimbo uitwao Mwaminifu na kuendelea kufanya vizuri kwa mara nyingine tena mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka nchini Marekani Vince Joyn ameachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Amenitengeneza.

“Nilipoandaa na kuandika huu wimbo, nilifikiria sana waliookoka, hasa hasa vijana. Basi ikabidi niandike wimbo wa kujivunia wokovu tuliopewa na Bwana, yani ushindi wetu katika Kristo. Pia ikabidi niandike mziki wa kuchezeka, Naamini utaenjoy na kubarikiwa,” Amen.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu tukiamini utagusa na kukubariki kwa namna ya kipekee sana, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Vince Joyn kupitia:
Simu/WhatsApp: +1 (515) 779-4410
Facebook: Vince Joyn
Instagram: @vincejoyn
Twitter: @vincejoyn
Youtube: Vince Joyn

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top