Video: Tru South - Someday - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Video: Tru South – Someday

Video

Video: Tru South – Someday

Video Tru South - Someday

Kutoka nchini Nigeria kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 leo tumekusogezea video ya wimbo uitwao Someday kutoka kwa rapa maarufu nchini humo anayefahamika kama Tru South.

“The song reminds us of the second coming of Jesus. It also urges us to tell others who don’t know about this truth and preach to those who know but don’t believe..so they will be with Him when He returns.” – Tru South

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii tukiamini kuwa utabarikiwa, Amen.

Social Media Connection:
Facebook: Tru South Music
Instagram: @trusouthmusic
Twitter: @2rusouth
YouTube: TRU SOUTH

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top