Video: Size 8 Reborn Feat. Mwana Mtule - Kujeni Twende - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Video: Size 8 Reborn Feat. Mwana Mtule – Kujeni Twende

Video

Video: Size 8 Reborn Feat. Mwana Mtule – Kujeni Twende

Size 8 Reborn Feat. Mwana Mtule - Kujeni Twende

Kwa mara nyingine katika mwaka 2019 mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka jijini Nairobi Kenya maarufu kama Size 8 Reborn ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Kujeni Twende akiwa amemshirikisha mwimbaji anayefahamika kama Mwana Mtule.

Video hii imeongozwa na TrueD, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Bern Mziki.

“Let’s all go into the kingdom of GOD through His son JESUS CHRIST..” – Size 8

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video ya wimbo huu mzuri ambao ni hakika kuwa utakubariki na kukuinua, Amen.

Social Media Connection:
Facebook: Size 8 Reborn
Instagram: @size8reborn
Twittter: @size8reborn
Youtube: Size8Reborn

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top