Video: Masanja Mkandamizaji - Short & Clear - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Video: Masanja Mkandamizaji – Short & Clear

Video

Video: Masanja Mkandamizaji – Short & Clear

Masanja Mkandamizaji - Short & Clear

Baada ya wiki chache zilizopita kuachia video ya wimbo uitwao NII kwa mara nyingine tena mwimbaji na mchekeshaji Emmanuel Mgaya maarufu kama Masanja Mkandamizaji ameachia video ya wimbo wake mpya unaoitwa Short & Clear.

“SHORT AND CLEAR NI NYIMBO AMBAYO INAELEZEA MAISHA YA BWANA WETU YESU KRISTO HASA LAKINI ZAIDI IMEJIKITA KATIKA JINSI AMBAVYO ALIKUA ANAULIZA NA KUJIBU MASWALI.” – Masanja alisema

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema na ya kipekee tukiamini kuwa utabarikiwa na kujifunza jambo jipya maishani mwako, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mtumishi wa Mungu Emmanuel Mgaya kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 713 855 855
Facebook: Emmanuel Mgaya
Instagram: @masanjatv
Youtube: Emmanuel Mgaya masanja

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top