Audio: Martha Mwaipaja - Amenitengeneza - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Audio: Martha Mwaipaja – Amenitengeneza

Audio

Audio: Martha Mwaipaja – Amenitengeneza

Martha Mwaipaja - Amenitengeneza

Kwa mara nyingine tena katika mwaka 2019 mwimbaji mkongwe wa nyimbo za Injili Martha Mwaipaja ameachia wimbo wake mpya uitwao Amenitengeneza.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu mzuri tukiamini kuwa utabarikiwa na kuinuliwa siku zote, Ameen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Martha Mwaipaja kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 719 470 375
Facebook: Martha Mwaipaja
Instagram: @marthamwaipaja
Youtube: Martha Mwaipaja

Advertisements
1 Comment

1 Comment

  1. Beatha

    May 20, 2019 at 3:37 pm

    Love the song

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top