Connect with us

Audio: Jessica Honore – Nakushukuru

Audio

Audio: Jessica Honore – Nakushukuru

Nakushukuru Jessica Honore

Mwimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania maarufu kama Jessica Honore kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 ameachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Nakushukuru.

“Nakushukuru ni wimbo wa kuabudu na kumshukuru Mungu. Kama neno lake linavyosema, ingieni malangoni mwake kwa shukurani.” – Jessica Honore

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na Jessica Honore Bm kupitia
Simu/WhatsApp: +255 712 332 007
Facebook: Jessica Honore bm
Instagram: @officialjessica
YouTube: Jessica Honore Bm

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

KALI ZA WIKI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 14,702 other subscribers

To Top