Connect with us

Gospo Media

Video: Hype Burton, Mr. Mike, MC Freddie & Gudah Man – Usinitanie

Video

Video: Hype Burton, Mr. Mike, MC Freddie & Gudah Man – Usinitanie

Hype Burton, Mr. Mike, MC Freddie & Gudah Man - Usinitanie

Kutoka lebo ya Revolution Entertainment kwa mara nyingine tena mwimbaji Hype Burton amekuja kivingine kwa kuachia video ya wimbo uitwao Usinitanie akiwa na mwimbaji Mr. Mike, MC Freddie na Gudah Man kutoka nchini Kenya.

Video hii imeongozwa na director Lucca Swahili kutoka studio za Lucca Swahili Visuals, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Kimambo.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii tukiamini kuwa utabarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Hype Burton kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 717 294 671 au +255 686 345 452
Facebook: Hype Burton
Instagram: @hypeburtontzz | @mrmiketz | @mc_freddie_believer | @gudah_man
Youtube: Revolution EntertainmentTz

 

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

FEATURED MUSIC

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

JIUNGE NASI

Jiunge na blog ya gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kila siku kupitia barua pepe yako.

Join 13,130 other subscribers

Gospomedia.com ni blog rasmi inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kilasiku kutoka ndani na nje ya Afrika.

To Top