Audio: Goodluck Gozbert Feat. Neema Mudosa - Wimbo wa Sifa - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Audio: Goodluck Gozbert Feat. Neema Mudosa – Wimbo wa Sifa

Audio

Audio: Goodluck Gozbert Feat. Neema Mudosa – Wimbo wa Sifa

Goodluck Gozbert Feat. Neema Mudosa - Wimbo wa Sifa

Kwa mara nyingine tena katika mwaka 2019 mwimbaji Goodluck Gozbert ameachia wimbo wake mpya uitwao Wimbo wa Sifa akiwa amemshirikisha mwanadada mwenye sauti ya pekee maarufu kama Neema Mudosa.

Wimbo wa Sifa ni wimbo pili kuachia kwa mwaka 2019 ambao kwasasa umekuwa ni wimbo wa kwanza kuachia kati ya mbili alizoachia leo.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu ambao ni hakika kuwa utakubariki, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Goodluck Gozbert kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 655 212 720 au +255 654 276 560
Facebook: Goodluck Gozbert
Instagram: @goodluckgozbert
Youtube: Goodluck Gozbert

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top